Full Lyrics
REFRAIN
Meza ya Bwana hii imeandaliwa,
Songea Ukale ndugu,
Songea Ukanywe ndugu,
mwili na damu yake Bwana Yesu.
VERSE 1
Meza ya Bwana tayari.
Wende tujongee, wote tukale.
VERSE 2
Twende Mezani kwa Bwana.
Tukale chakula, chakula cha mbingu.
VERSE 3
Tukanywe damu ya Bwana.
Tupate Uzima, uzima milele.